HABARI ZA MAGAETI YA LEO SEPTEMBA 28, 20230
- Magazeti
- September 28, 2023
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hadi kufikia sasa China imewekeza zaidi ya dola bilioni 10 katika maeneo mbalimbali nchini na ametumia fursa hiyo kuwakaribisha wawekezaji wengine zaidi. Amesema kuwa takwimu za Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) zinaonesha kuwa kuna zaidi ya miradi 1,134 ambayo imesajiliwa kutoka makampuni ya China na hivyo kuchangia ajira kwa Watanzania.
READ MOREWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mifumo na miuondombinu ya mifumo ili kuboresha ufanisi wa utoaji huduma, utendaji kazi na kupunguza urasimu unaokwamisha utekelezaji wa miradi mbalimbali nchini. Ameyasema hayo jana usiku (Jumatatu, Septemba 25, 2023) wakati akizungumza na wadau mbalimbali walioshiriki uzinduzi wa Mfumo wa
READ MORE