Worth Reading

  • WAZIRI MKUU AMJULIA HALI MUFTI NA SHEIKH MKUU.

   WAZIRI MKUU AMJULIA HALI MUFTI NA SHEIKH MKUU.0

   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Januari 5, 2022 amemjulia hali, Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Bin Zubeir ambaye amelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) mkoani Dar es salaam kwa matibabu. Akiongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa MOI  Dkt. Samweli Swai, Mheshimiwa Majaliwa amemtakia pona ya haraka Mufti wa Tanzania Abubakar Bin Zubeir

   READ MORE

  Latest Reviews

  Latest Posts

  Recommended

  Latest Posts

  Featured Videos

  Translate »