• AZANIA BENKI NA TIGO WAZINDUA HUDUMA MPYA YA MKOPO ” BUSTISHA “0

    Dar es Salaam. Tarehe 12 Mei, 2022. Kampuni inayoongoza kwa utoaji wa huduma za kidigitali nchini Tanzania, Tigo, imeshirikiana na Benki ya Azania kuzindua bidhaa mpya inayoitwa “Bustisha”  ambayo itawawezesha wateja wa Tigo Pesa kukamilisha miamala yao hata kama hawana fedha za kutosha.  Wateja wanaofanya kazi na Tigo Pesa watastahiki kupata bidhaa hii lakini watalazimika

    READ MORE
  • HALIMA MDEE, WENZAKE WAFUKUZWA RASMI CHADEMA0

    Baraza Kuu la CHADEMA usiku wa leo kuamkia Alhamisi (Mei 12, 2022) limezitupilia mbali Rufaa za Halima Mdee na wenzake 18 za kupinga kufukuzwa uanachama na Kamati Kuu ya chama. Kabla ya kufikia maamuzi hayo Mwenyekiti wa Chadema taifa aliwapa nafasi ya maridhiano na kuwataka waombe radhi mbele ya baraza kuu ili waweze kusamehewa na

    READ MORE
  • RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI MWINGINE

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI MWINGINE0

    Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa naibu makatibu wakuu wa wizara mbili na kuhamisha wengine watatu. Taarifa iliyotolewa leo Jumatano Mei 11, 2022 na Mkurugenzi Mawasiliano ya Rais-Ikulu, Zuhura Yunus imesema kuwa Rais Samia amemteua Dk Charles Msonde kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa -Tamisemi (Elimu).

    READ MORE
Translate »