• Trilioni 4 kutatua changamoto ya umeme kukatika ovyo.

  Trilioni 4 kutatua changamoto ya umeme kukatika ovyo.0

  Shirika la umeme Tanzania (Tanesco) linatarajia kutumia trilioni 4 kwa ajili ya kuweza kutatua changamoto ya umeme kukatika ovyo ikiwemo kununua transfoma imara,mita za umeme pamoja na ununuaji wa nguzo.Kaimu Mkulugenzi huduma kwa wateja Martin Mwambene Amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma kuhusu utekelezaji wa majukumu ya shirika la umeme Tanzania

  READ MORE
 • KMC FC 0-1 Young Africans SC

  KMC FC 0-1 Young Africans SC0

  READ MORE
 • NIMEFURAHISHWA NA MIRADI YA KIMAENDELEO-WAZIRI MKUU, MAJALIWA

  NIMEFURAHISHWA NA MIRADI YA KIMAENDELEO-WAZIRI MKUU, MAJALIWA0

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema anafurahishwa na mafanikio makubwa ya utekelezwaji wa ujenzi miradi mbalimbali ya maendeleo yanayoonekana katika maeneo mbalimbali nchini yakiwemo ya wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi. “Wana-Ruangwa lazima tuendelee kumshukuru Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha fedha nyingi za utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo. Haya ni mafanikio makubwa, Ruangwa

  READ MORE
Translate »