Thamani ya vikosi vya timu 8 zilizofuzu robo fainali ya Klabu Bingwa Afrika.
- Uncategorized
- April 14, 2021
FULL TIME: #NBCPL 🇹🇿 🏟️ :: Ilulu, Lindi NAMUNGO FC 2 – 2 SIMBA SC ⚽ Masawe 8’⚽ Kapombe 42’⚽ Chirwa 60’⚽ Kibu Dennis 78’Shughuli imemalizika katika dimba la Ilulu Lindi hakuna mbabe kati ya Wenyeji Namungo FC dhidi ya Simba SC ni sare ya 2-2. Timu zote zimegawana pointi Simba SC ikifikisha alama 43
READ MORERais Samia Suluhu Hassan amewahikikishia wafanyakazi nchini kuwa Serikali katika mwaka wa fedha 2022/2023 itaongeza mishahara kwa watumishi wake. Rais Samia ametoa ahadi hiyo leo Jumapili Mei Mosi 2022 wakati wa sherehe za wafanyakazi duniani zinazofanyika katika uwanja wa Jamuhuri jijini hapa. Hata hivyo, alisema nyongeza ya mishahara haitakuwa na kiwango ambacho kimependezwa na Shirikisho
READ MOREAtaka Maafisa kazi kufanya ukaguzi wa Mara kwa Mara. Awashukuru Wafanyakazi kwa ushirikiano na kuendelea kufanya Kazi. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla leo ameongoza Maelfu ya Wafanyakazi wa Mkoa huo kwenye Sherehe za Mei Mosi ambapo amewapongeza Wafanyakazi kwa utendaji mzuri katika kuchochea Uchumi na utoaji wa huduma Bora kwa
READ MORE