Thamani ya vikosi vya timu 8 zilizofuzu robo fainali ya Klabu Bingwa Afrika.
- Uncategorized
- April 14, 2021
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa maagizo 10 kwa viongozi wa mkoa wa Kagera huku akiwasisitiza wazingatie maelekezo ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuwasikiliza wananchi na kutatua kero zao. “Viongozi na watendaji wote ninawakumbusha tena wajibu wenu wa kuwatumikia zaidiwananchi, nendeni mkatatue kero zao, wekeni utaratibu wa kuwafuata, kuwasikiliza na kupata ufumbuzi wa kero
READ MOREWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema atapeleka timu maalum ya uchunguzi wilayani Kigoma ili ifanye uchunguzi wa fedha zinazopotea kinyemela kupitia mtandao wa watumishi wasio waaminifu. “Hapa Manispaa mnapokea fedha, zinakaa kwenye akaunti kwa muda halafu zinapotea, hazijulikani zimefanya nini. Nitaleta timu, waje wafuatilie hapa Kigoma, waende hadi TAMISEMI ili tuone huo mnyororo unaenda wapi,” amesema. Ametoa kauli
READ MOREKamishna wa Polisi Zanzibar CP. HAMAD KHAMIS HAMAD amewataka wananchi kisiwani Pemba kutumia huduma za Jamii zikiwemo za Elimu na Afya zinazotolewa bure na Polisi kwa kushirikiana na Jumuiya ya Kuhamasisha Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii Pemba (JUKUMAKIKIPE) inayosimamiwa na Raia kutoka Korea. Akikagua Vituo vya Kutolea huduma hizo Kambi ya Polisi Madungu, Katika Wilaya
READ MORE