• Msemaji Mkuu wa Serikali ameshiriki mkutano wa wabunge na wadau wa habari.

    Msemaji Mkuu wa Serikali ameshiriki mkutano wa wabunge na wadau wa habari.0

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Gerson Msigwa akishiriki mkutano wa wabunge na wadau wa habari wa ndani na nje ya nchi kuhusu ukatili wa kijinsia kupitia mitandao ya kijamii hasa kwa wanawake, uliofanyika jijini Dar es Salaam katika Hoteli ya New Africa, leo Septemba 18, 2023.

    READ MORE
  • WATUMISHI WA UMMA JIEPUSHENI NA MIKOPO KAUSHA DAMU.

    WATUMISHI WA UMMA JIEPUSHENI NA MIKOPO KAUSHA DAMU.0

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa  Umma na Utawala Bora Mhe.Ridhiwani Kikwete (Mb) amewatahadharisha Watumishi wa Umma kujiepusha na mikopo yenye riba kubwa maarufu kwa jina la ” Kausha Damu” huku akisisitiza kuwa mikopo ya aina  hiyo imekuwa ikidhalilisha na kutweza utu wa Watumishi katika Jamii.  Mhe.Kikwete ametoa tahadhari hiyo wakati akizungumza

    READ MORE
  • WANANCHI WILAYANI MAGU WAJIDHATITI UJENZI WA MAKAZI BORA.0

    Wananchi wa Kata ya Sukuma Wilayani Magu mkoani Mwanza wamehamasika katika kuboresha makazi yao na kujenga nyumba 165 kwenye Kata 4 za Wilayani humo. Hayo yamebainika katika ziara ya Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe Mwanaidi Ali Khamis katika Halmashauri ya Wilaya ya Magu mkoani Magu kufuatilia utekelezaji wa

    READ MORE
Translate »