• Waziri Mkuu ameshuhudia utiaji saini wa Mkataba wa miaka 3.

    Waziri Mkuu ameshuhudia utiaji saini wa Mkataba wa miaka 3.0

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameshuhudia utiaji saini wa mkataba kati ya Ofisi ya Rais TAMISEMI na Kampuni ya Tumbaku ya Japan (JT Group) utakayoiwezesha kampuni hiyo kuendelea kutoa huduma za kijamii katika maeneo inayonunua zao hilo nchini.  Mkataba huo wa miaka mitatu wenye thamani ya shilingi bilioni 3.2 utaiwezesha kampuni hiyo kutoa huduma hizo kwenye

    READ MORE
  • Rais Mwinyi amekutana na Mh Makamba.

    Rais Mwinyi amekutana na Mh Makamba.0

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza uongozi mpya wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kufuatia kuteuliwa kwao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan hivi karibuni. Rais Dk. Mwinyi alitoa pongezi hizo Ikulu, Zanzibar alipozungumza na viongozi

    READ MORE
  • Simamieni malezi ya Watoto.

    Simamieni malezi ya Watoto.0

    Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla ameitaka Jamii kusimamia watoto kwenye Malezi mema ili kupata Taifa bora lenye vijana wazalendo na wenye uchu wa maendeleo ya Zanzibar. Alhajj Hemed ameeleza hayo wakati akiwasalimia waumini wa Masjid Islah Chakechake Pemba alipojumuika nao katika Ibada ya Sala ya Ijumaa. Amesema Zanzibar ni

    READ MORE
  • TRA YAPANDISHA KODI YA MAJENGO

    TRA YAPANDISHA KODI YA MAJENGO0

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwakushirikiana na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) imesema Serikali imefanya mabadiliko ya Sheria ya Serikali za Mitaa ya Utozaji wa Kodi ya Majengo, SURA 289 kupitia Sheria ya Fedha ya 2023 ambapo viwango vya utozaji kodi hiyo vimebadilika pamoja na wigo wa ukusanyaji kodi hiyo umeongezeka kwa kujumuisha nyumba zilizopo

    READ MORE
  • WANACHUO UDOM NA ST.JOHN’S WATIA FORA AFYA BONANZA0

    Ikiwa Bonanza la Afya lilioandaliwa na Wizara ya Afya na Ofisi ya Rais TAMISEMI  likiendelea katika maeneo mbalimbali Kwa mikoa mitano hapa nchini, kwa Mkoa wa Dodoma Bonanza hilo limefika katika chuo Kikuu cha St.John na Chuo Kikuu cha Dodoma. Wakizungumza katika Bonanza hilo, baadhi ya wanachuo kutoka chuo Kikuu cha St.John pamoja na Chuo

    READ MORE
  • WAKALA wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi imesaini hati ya makubaliano na Taasisi ya Zanzibar Maisha bora Fondation.0

    WAKALA wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzobar imetiliana saini hati ya makubaliano na Taasisi ya Zanzibar Maisha bora Fondation (ZMBF) kwa lengo la kushirikiana na kinamama na vijana katika kilimo cha mwani. Hafla ya utiaji saini imefanyika katika ofisini za Taasisi ya Zanzibar maisha bora Foundation Migombani na kushuhudiwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi

    READ MORE
Translate »