Na Mwandishi Wetu Dodoma Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amewatumia salamu wamiliki wa vituo vya kulelea watoto mchana ambao hawajasajili vituo hivyo na wanaendelea kutoa huduma hiyo. Waziri Dkt. Gwajima ametoa kauli hiyo jijini hapa wakati wa Tamasha la Karibu Dodoma linalofanyika katika viwanja vya Chinangali
READ MORENa Mwandishi wetu, Julai 06 2021 Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imewataka wananchi kufuata mifumo na taratibu za kuchukua miili ya marehemu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na zingine zote nchini ili kuondokana na malalamiko kwamba hospitali imekuwa ikizuia kuichukua kwa ajili ya kwenda kuihifadhi. Kauli hiyo imetolewa na
READ MOREWATUMISHI wa Afya wa kada mbalimbali wametakiwa kuwa mabalozi wazuri katika utoaji huduma za afya kwakufuata misingi ya haki za binadamu na utawala bora katika utoaji wa huduma za afya ili kuweza kuondoa kero na malalamiko miongoni mwa jamii katika sekta ya afya. Kauli hiyo imetolewa leo Jijini Dodoma na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma
READ MORE