Na Barnabas kisengi Dodoma MAMLAKA ya udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini (EWURA)imetoa msaada wa Mashuka 431 yenye thamani ya Shilingi Milioni tano kwa Vituo vya Afya vya Makole,Hombolo,Mkonze na Kikombo kama sehemu ya kuadhimisha wiki ya utumishi wa Umma kwa lengo la kuboresha huduma za Afya kwa jamii. Akizungumza na Waandishi wa Habari
READ MORENa Barnabas kisengi Dodoma Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeanza kufanya ufuatiliaji wa maelekezo yake katika kuboresha huduma za matibabu kwa wazee kwenye vituo vya kutolea huduma za afya nchini. Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima alipotembelea hospitali ya Rufaa ya Mkoa Dodoma na kujionea jinsi
READ MORENa Barnabas kisengi Dodoma Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto leo imetoa mafunzo kwa wabunge wa Bunge la Tanzania kuhusiana na magonjwa ya Kifua Kikuu na Ukoma ili kuwajengea uwezo na uelewa kuhusu magonjwa haya mawili yanayosumbua jamii. Akiongea wakati ufunguzi wa mafunzo hayo, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,
READ MOREWaziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo ameelekeza kuwa zoezi la upandaji miti liwe endelevu ili kusaidia kuhifadhi mazingira. Jafo ametoa agizo hilo leo Aprili 9, 2021 wakati akiongoza zoezi la upandaji miti lililofanyika katika eneo la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo Aprili 9, 2021 lililoshirikisha wadau
READ MOREMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Hemed Suleiman amemaliza ziara ya siku Tano Kisiwani Pemba na kuiagiza Kampuni ya Runs kuendelea na ujenzi wa Mradi wa Hospital ya Chake Chake ndani ya saa 24.
READ MOREWaziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuongeza nguvu katika Wizara hiyo kwa kuzingatia umuhimu wa Sekta ya maendeleo ya jamii. Dkt. Gwajima ameyasema hayo jijini Dodoma wakati akizungumza na watumishi wa Wizara ya Afya, Maendeleo
READ MORE