Mratibu wa Damu Salama jiji la Dodoma Jerome Malando amesema mahitaji ya Damu salama katika jiji la Dodoma ni chupa hamsini huku wito ukitolewa kwa kila mmoja kuguswa kuchangia damu salama ili kuokoa maisha ya watu. Malando amebainisha hay oleo Machi,20,2020 katika kanisa la Waadventista Wasabato Kikuyu jijini Dodoma wakati wa uchangiaji wa Damu Salama
READ MORENa Mwandishi wetu-Dar es Salaam Duka la vifaa vya michezo la Just Fit imemkabidhi vifaa vya vya mazoezi kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, kuunga mkono juhudi zake na Wizara hiyo anayoiongoza katika kuhamasisha jamii kufanya mazoezi ya viungo. Hafla hiyo imefanyika leo Dar es Salaam, eneo
READ MORENa Barnabas Kisengi-Katavi March 13, 2021 Familia zimetakiwa kujenga mazoea ya kufanya mazoezi kwa pamoja ili kuweza kujenga afya za miili na kuepukana na magonjwa yasiyoambukiza na kuwafanya Watoto waweze kuelewa umuhimu wa kufanya mazoezi wangali wadogo.Rai hiyo imetolewa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima wakati
READ MOREWaziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima amewataka watumishi wa Afya wa Mkoa wa Songwe walioiba dawa za shilingi milioni 13.5 na kurudisha milioni 10.6 wafikishwe kwenye vyombo vyote vya Sheria ikiwemo Polisi, TAKUKURU na kisha Mahakamani kwa kadri ya makosa ya kila mmoja. Dkt.Gwajima ameyasema hayo leo mara baada ya kusomewa ripoti ya Mkoa na
READ MORENa Barnabas kisengi songweMarch 11 2021 Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima amewataka watumishi wa Afya wa Mkoa wa Songwe walioiba dawa za shilingi milioni 13.5 na kurudisha milioni 10.6 wafikishwe Kwenye vyombo vyote vya Sheria ikiwemo Polisi, PCCB na kisha Mahakamani kwa kadri ya makosa ya kila mmoja. Amesema baada ya hapo wafikishwe kwenye
READ MORE