Na mwandishi wetu mbeyaMarch 11 2021 Uongozi wa Mkoa wa Mbeya umepongezwa kwa usimamizi mzuri na hatua kubwa iliyofikiwa kwenye mradi wa ujenzi wa jengo jipya la huduma ya wazazi katika hospitali ya wazazi ya Meta. Aidha, hatua iliyofikiwa ni 88% kwa miezi 20 tu kati ya 24 iliyokadiriwa kutumika huku hatua hiyo ikiwa imetumia
READ MORETaarifa kwa ufisi ya makamu wa Rais Muungano na Mazingira inakukumbusha mwananchi kuwa zimebaki siku 28,kufikia mwisho wa mataumizi ya vifungashio vya plastiki kama vobebeo.
READ MOREWaziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu amewasilisha taarifa ya utekelezaji wa miradi mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma leo. Akizungumza mara baada ya kuwasilisha taarifa hiyo alisema Serikali itasambaza Mwongozo wa usafishaji mito kwa kuondoa
READ MORENaibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Festo Dugange ametoa muda wa siku thelathini kwa Uongozi wa Halmashauri ya Mji wa Makambako Mkoani Njombe kuhakikisha unafanya ukaguzi wa manunuzi na matumizi ya Dawa katika Kituo cha Afya cha Mji huo kwa kipindi cha miezi sita iliyopita ili kujiridhisha na malalamiko ya Wananchi ya ukosefu wa
READ MORENa Barnabas kisengi Mpwapwa March 10 2021 Vitamin A ni vitamin muhimu sana kiafya. Hii ni vitamin ambayo husaidia katika ujenzi wa tishu laini (kwenye misuli, kani na viungo vya ndani), tishu ngumu za mifupa na tishu zinazounda viwambo vya njia zinazohifadhi belaghami (mucas). Aidha afisa Lishe asunta amesema vitamin A husaidia retina ya jicho kuzalisha
READ MORENa Barnabas kisengi March 10 2021 Serikali imelenga kuziwezesha Hospitali zote za Rufaa za Mikoa (26) nchini ili kuweza kuanzisha huduma za matibabu ya ugonjwa sugu wa figo ikiwemo usafishaji damu ifikapo mwaka 2025. Yamebainishwa hayo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima alipotembelea Kitengo cha usafishaji damu kwa
READ MORE