STATE HOUSE ZANZIBAR OFFICE OF THE PRESS SECRETARY PRESS RELEASE Zanzibar Machi 10, 2021 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema wakati umefika kwa Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto kuondokana na utaratibu wa kupeleka wagonjwa nje ya nchi kwa matibabu,
READ MOREKamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeipongeza Serikali kupitia Wizara ya Afya kwa kuendelea kuwekeza na kuboresha upatikanaji wa huduma za tiba za kibingwa nchini na kupunguza gharama za matibabu kwa watanzania waliokuwa wanapata huduma hizo nje ya nchini.Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Stanslaus Nyongo kwenye kikao
READ MORENaibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk.Godwin Mollel, amewasimamisha kazi DMO, Mfamasia na Mtunza Stoo wa Hospitali ya Wilaya ya Ngara ya Nyamiaga mkoani Kagera ili kupisha uchuguzi. Watumishi hao wanakabiliwa na tuhuma za kuhusika na upotevu wa dawa za mamilioni ya fedha zilizoletwa na Serikali kwa ajili ya wananchi.
READ MORETanzania imepiga hatua katika kupunguza ugonjwa wa Malaria licha ya baadhi ya mikoa kuwa na maambukizi ya juu ya ugonjwa huo na mikoa ya Arusha,Manyara, Njombe, Kilimanjaro na Iringa kuwa na maambukizi chini ya asilimia moja na mikoa mingine kuwa na maambukizi ya kati.Hayo yameelezwa leo na Mkurugenzi wa Idara ya Kinga kutoka Wizara ya
READ MOREHospitali ya Taifa ya Muhimbili hii leo imezindua rasmi mashine maalumu ambayo itatumika kutoa huduma za kujifukiza katika hospitali hiyo kuu ya rufaa nchini Tanzania. Mkurugenzi wa Muhimbili Prof Lawrence Maseru ameeleza kuwa, mgonjwa atatumia dakika tano akivuta mvuke wenye mchanganyiko wa dawa asili. Hata hivyo, wataalamu wengi wa afya pamoja na shirika la Afya
READ MOREMamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Kanda ya Kati imefanya ukaguzi katika maduka ya dawa na vifaa tiba katika kijiji cha Mpendoo kilichopo katika ya Halmashauri ya Wilaya ya Chemba. Ukaguzi huo ulifanikisha kukamata dawa za Serikali aina saba (7) zenye thamani ya Tsh. 265,000/= katika duka la dawa muhimu liitwalo ROGECHU. Mtuhumiwa amekamatwa na
READ MORE