Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amezindua Magari matatu Maalum(Mounted Mobile Clinic Vans) kwa ajili ya utoaji wa huduma Tembezi ya Tohara kinga kwa Wanaum katika mikoa ya Shinyanga, Mwanza,Simiyu na Mara katika Ofisi za OR-TAMISEMI Mtumba Jijini Dodoma Akizindua magari hayo Mh. Jaffo amesema
READ MOREHospitali ya Taifa ya Muhimbili –Mloganzila imewapokea wataalamu bingwa 10 kutoka nchini Cuba ikiwa ni mikakati yake ya kuendelea kuboresha utoaji wa huduma za afya hususani huduma za kibingwa. Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila Dkt. Julieth Magandi amesema wataalamu hao ni wa uuguzi, usingizi, madaktari wa wodi za wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu na
READ MORENa Barnabas kisengi morogoroFebruary 26 2021 Wizara ya Afya imeshaanza kutumia teknolojia ya Panyabuku katika kubaini ugonjwa wa Kifua Kikuu (Tuberculosis ) kwa sampuli za wagonjwa wenye dalili hizo ili kuongeza uwezo wa kutambua vimelea hivyo hasa pale ambapo njia zingine zimekuwa zimeshindwa kubaini. Mganga Mkuu wa Serikali Profesa Abel Makubi ambaye alitembelea kitengo hicho
READ MOREMsomaji,wa jfive karibu uyatazame magazeti ya leo ya tarehe 26/02/2021.
READ MORENa Mwandishi Dar es Salaam Ubalozi wa Kenya nchini umeweka wazi nia yake ya kuongeza ushirikiano na Tanzania katika matibabu ya saratani kwa kuhakikisha diplomasia ya utamaduni na afya baina ya hizi nchi mbili unaimarishwa ikiwemo wananchi wa Kenya, kufika katika Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI). Masuala hayo yamebainishwa na Balozi wa Kenya nchini
READ MORENa Barnabas kisengi Dodoma February 24 2021 Wananchi wa Kata ya kilimani jijini Dodoma wametakiwa kufuata maelekezo ya wataalamu wa afya ili Waweza kujikinga na magonjwa mbalimbali ikiwemo ugonjwa wa covid 19 kwa kunawa mikono kwa maji tiririka kusafisha mazingira yanayoishi pia kujifukizia na kutumia dawa asili Kama wanavyoelekeza wataalamu wa afya. Kauli hiyo imetolewa na
READ MORE