Na Barnabas kisengi Dodoma February 24 2021 WAZIRI wa Afya,maendeleo ya Jamii jinsia wazee na watoto,Dorothy Gwajima amemuagiza Katibu Mkuu,Idara kuu ya maendeleo ya Jamii kuhakikisha anampatia taarifa kuhusu Fedha zinazotolewa na Serikali kupitia halmashauri katika kuwawezesha wanawake kiuchumi. Hatua hiyo ya Waziri Gwajima imekuja kufuatia baadhi ya wananchi kulalamika kuwa hawajapata mikopo ambayo imekuwa ikitolewa na
READ MORENa Barnabas kisengi Dar es salaamFebruary 23 2021 Tiba asili ilikuwepo tangu muda mrefu toka miaka ya 1990 na ilishaandikwa kwenye maandiko ya wizara pamoja na Sera ya Afya ya mwaka 2007 hivyo bidhaa zote zilizotengenezwa na wataalamu wa tiba asili ni kuwa na nia ya kuitafuta tiba kama nchi kwa njia yeyote Hayo yamesemwa
READ MOREPolisi Mkoani Pwani wanawashikilia Watu wanne waliokamatwa ndani ya Mkoa huo wakituhumiwa kutumia mitandao ya kijamii kueneza uvumi wa vifo vya Watu wakidai wamekufa kwa Corona na kutia hofu Wanachi. Watuhumiwa hao ni Frank Nyange (47), Mozes Mgao (34) Mohamedi Lutambi (47) na Bumija Senkondo (55). “Watuhumiwa hawa wanne tuliowakamata na wengine ambao tunaendelea kuwatafuta
READ MOREHalimashauri ya wilaya ya mpwapwa mkoani Dodoma kwa kipindi cha October 2020 hadi sasa 2021 jumla ya watoto 70 Kati ya 176 wamepatiwa huduma ya matibabu ya utapiamlo mkali ili kupunguza vifo vya watoto wadogo vinavyotokana na Lishe duni huku kwa kipindi hicho jumla ya wakinamama wajawazito 8670 Kati ya 10197 wamepatiwa elimu ya Lishe
READ MORE“Huduma za Uuguzi na Ukunga zinapimwa zaidi na uadilifu wa watoa huduma, uadilifu unasaidia kuzingatia matumizi sahihi ya elimu aliyonayo mtaaluma kwani elimu bila maadili ni Bure”. Hayo yamebainishwa leo Kwenye hotuba ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima iliyosomwa kwa niaba yake na Mkurugenzi wa Idara ya
READ MOREJeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linafanta uchunguzi wa malalamiko ya wananchi kutozwa gharama kubwa za matibabu kwa wagonjwa wenye matatizo ya nimonia yanayosababisha kushindwa kupumua vizuri katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa
READ MORE