• MAJALIWA AMEAGIZA WIZARA YA FEDHA KUWALINDA WATUMIAJI WA HUDUMA ZA FEDHA.

    MAJALIWA AMEAGIZA WIZARA YA FEDHA KUWALINDA WATUMIAJI WA HUDUMA ZA FEDHA.0

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kisongo Arusha ambako alifungua  Maadhimisho ya Wiki ya  Huduma ya Fedha kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini humo, Novemba 22, 2023. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongela na wa tatu kushoto ni Waziri wa Fedha, Dkt

    READ MORE
  • ROBO YA KWANZA SERIKALI IMEKUSANYA TRILIONI 9.06.

    ROBO YA KWANZA SERIKALI IMEKUSANYA TRILIONI 9.06.0

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema katika robo ya kwanza ya mwaka 2023/2024, mapato kutoka vyanzo vyote vya ndani na nje yalifikia shilingi trilioni 9.06 sawa na asilimia 89.6 ya lengo la kipindi hicho. “Kati ya kiasi hicho, mapato ya ndani yalikuwa shilingi trilioni 6.94 sawa na asilimia 96.2 ya lengo la kipindi hicho,” amesema. Amesema hayo

    READ MORE
  • WADAU WA MADINI TUMIENI TEKNOLOJIA YA KISASA-MAJALIWA.

    WADAU WA MADINI TUMIENI TEKNOLOJIA YA KISASA-MAJALIWA.0

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wadau wa madini wajielekeze katika kutumia teknolojia za kisasa katika uchimbaji madini ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi zinazotokana na uchimbaji usio endelevu.  Ameyasema hayo leo (Alhamisi, Oktoba 26, 2023) katika Hafla ya Kufunga Mkutano wa Kimataifa wa Madini na Uwekezaji Tanzania (TMIF) wa mwaka 2023. Waziri

    READ MORE
Translate »