Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amesema Tanzania haina mzigo wa Madeni kama ilivyo kwa mataifa mengine ya Afrika Mashariki, tuwapuuze watu wanaobeza mpango wa Serikali kukopa Fedha Nje ya Nchi, kwani hatua ya Serikali kukopa ni kuendelea Kuijenga Tanzania ili iwe imara Kiuchumi kama ilivyo kwa mataifa yaliyopiga hatua Kimaendeleo.
READ MORENa Moreen Rojas Dodoma Mamlaka ya afya ya mimea na viatilifu Tanzania TPHPA imefanikiwa kudhibiti ndege aina ya kweleakwelea milioni 227.4 na kufanikiwa kuokoa Tani 1056.3 za mazao ya nafaka.Prof.Joseph Ndunguru amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma kueleza utekelezaji wa majukumu ya mimea na viatilifu nchini Tanzania. Aidha Prof Joseph amesema
READ MORE*Kinatumika kupima mafuta ya Mawese WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Tobias Andengenye kwa kushirikiana na SIDO wahakikishe wanaingiza sokoni vipimo rasmi vya kupimia mafuta ya mawese na kuachana na vipimo vya asili maarufu kama BIDOO ambacho kimekuwa kikiwanyonya wakulima. Ametoa agizo hilo leo (Jumatatu, Februari 27, 2023) alipotembelea Viwanda vya Kukamua mafuta
READ MORENa Mwandishi Wetu kigoma RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt SAMIA SULUH HASSANΒ imedhamiria kumaliza tatizo la upatikanaji wa mafuta ya kula nchini kwa kufanya mageuzi makubwa katika mazao ya mafuta ikiwemo michikichi.Mageuzi haya yanakwenda sambamba na kupanda miche mipya iliyoboreshwa ambayo ina uzalishaji mkubwa wa mafuta. Wana-Kigoma tuamue sasa hivi tupande michikichi
READ MORE