• WAZIRI MKENDA AIPA RUNGU  BODI YA WAKURUGENZI WA BODI YA KAHAWA//ONGOZENI KWA KUWA NA MAWAZO YA KIBIASHARA

    WAZIRI MKENDA AIPA RUNGU BODI YA WAKURUGENZI WA BODI YA KAHAWA//ONGOZENI KWA KUWA NA MAWAZO YA KIBIASHARA0

    Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Moshi Waziri wa Kilimo Mhe Prof. Adolf Mkenda ameitaka Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Kahawa ambayo ipo chini ya wizara ya kilimo kujiimarisha kiutendaji kwa ajili ya kufanya utafiti ili kuongeza tija ya uzalishaji wa kahawa. Waziri Mkenda ametoa maelekezo hayo tarehe 29 Juni 2021 wakati akizindua Bodi ya

    READ MORE
  • UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KONDE, WAGOMBEA 12 WATEULIWA

    UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KONDE, WAGOMBEA 12 WATEULIWA0

    …………………………………………………………………… NEC PEMBA Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Konde, Yasini Jabu Hamis amefanya uteuzi wa wagombea kumi na mbili (12) ambao wanawania ubunge ili kujaza nafasi iliyowazi kwenye jimbo hilo.  Bw. Hamis amesema kwamba kati ya wagombea hao wanawake ni watatu (3) na wanaume ni tisa (9). Amewataja wagombea hao kuwa ni pamoja na

    READ MORE
  • SERIKALI YAONGEZA WANYAMAPORI HIFADHI NDOGO YA LUHIRA SONGEA

    SERIKALI YAONGEZA WANYAMAPORI HIFADHI NDOGO YA LUHIRA SONGEA0

    Baadhi ya wanyamapori ambao wameongezwa hifadhi ndogo ya asili Luhira mjini Songea na wanyamapori ambao wapo katika hifadhi hiyo iliyopo katikati ya mji wa Songea  Mhifadhi Mkuu wa Wanyamapri kutoka TAWA Asharafu Shemoka akizungumza mara baada ya kuwafikisha salama wanyamapori waliosafirishwa kutoka mkoani Arusha kwa magari hadi hifadhi ya Luhira Songea Mkuu wa Kikosi Dhidi

    READ MORE
Translate »