Wanafunzi 423 wa shule ya secondary pwaga wilayani Mpwapwa Mkoani Dodoma wanakaa chini kutokana na changamoto ya kutokuwepo na madawati ya kutosha shule hapo. Kutokana na jambo hilo la kutokuwa na madawati ya kutosha shuleni hapo Kumemsukuma Mh Diwani wa Kata ya pwaga Willefred Mgonela kutafuta ufumbunzi wa changamoto hiyo ya madawati kwa kukutana na
READ MORENa Barnabas Kisengi-Dodoma Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Daniel Chongolo ameutaka Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) kutumia vikao vyao kujadili namna ya kutatua changamoto zinazowahusu wanawake badala ya kutumia nafasi hiyo kuseng’enyana, kupeleka ajenda za siri jambo ambalo halina maslahi kwa Taifa. Kauli hiyo ameitoa leo jijini Dodoma wakati akizungumza na Baraza Kuu
READ MORE