
- Habari, Kitaifa
- February 22, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- Amemteua Bw. Antony Diallo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA). Bw. Diallo anachukua nafasi ya Prof. Anthony Mshandete ambaye amemaliza muda wake. Uteuzi huu umeanza tarehe 09 Februari, 2023. Amemteua Mkuu wa
READ MORE
Na Moreen Rojas Dodoma Bodi ya usimamizi wa Stakabadhi za ghala (WRRB) imetoa wito kwa madalali kuacha tabia ya kuwarubuni wakulima na badala yake kuwaacha waingie kwenye mfumo wa Stakabadhi ghalani ili kuuza mazao yao kulingana na bei iliyopo sokoni. Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa stakabadhi za ghala (WRRB) Asangye Bangu amesema hayo
READ MORE
- Bungeni, Habari
- February 11, 2023
Waziri Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan iko makini na itaendelea kufuatilia miradi yote inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali nchini ili kudhibiti matumizi mabaya ya mali ya umma. Pia, Mheshimiwa Majaliwa amesema Serikali kupitia ofisi ya Waziri Mkuu imeandaa mfumo wa ufuatiliaji na tathmini ya mipango na
READ MORE