• RAIS DK.MWINYI ASHUKURU KWA DUA ZA HAYATI MZEE MWINYI.

    RAIS DK.MWINYI ASHUKURU KWA DUA ZA HAYATI MZEE MWINYI.0

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema familia ya Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi imefarijika sana tangu alipofariki dunia kwa Dua zilizofanyika katika maeneo mbalimbali kwa ajili ya kumuombea. Ameshukuru kwa Dua zilizosomwa kumuombea Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi. Rais Dk.Mwinyi amesema hayo katika kisomo cha Dua ya Arubaini

    READ MORE
  • Waziri Mkuu Majaliwa amezindua nembo na kauli mbiu ya miaka 60 ya Muungano.

    Waziri Mkuu Majaliwa amezindua nembo na kauli mbiu ya miaka 60 ya Muungano.0

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wote, Bara na Visiwani waendelee kuulinda, kuuenzi, kujivunia na kuuthamini Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.  “Kwa heshima na taadhima nitumie fursa hii kuwapongeza sana Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassanpamoja na Mheshimiwa Dkt. Hussein Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa uongozi wao makini ambao umekuwa

    READ MORE
  • WAZIRI MKUU MAJALIWA AKIWA BUNGENI.

    WAZIRI MKUU MAJALIWA AKIWA BUNGENI.0

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Śpika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, bungeni jijini Dodoma, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Śpika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, bungeni jijini Dodoma,  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora George Simbachawene, Bungeni jijini DodomaREAD MORE
Translate »