• WAZIRI MKUU MAJALIWA AKIWA BUNGENI.

    WAZIRI MKUU MAJALIWA AKIWA BUNGENI.0

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Śpika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, bungeni jijini Dodoma, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Śpika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, bungeni jijini Dodoma,  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora George Simbachawene, Bungeni jijini DodomaREAD MORE
  • WATU 92,561 WAMEFIKIWA NA HUDUMA YA AFYA MVOMERO.

    WATU 92,561 WAMEFIKIWA NA HUDUMA YA AFYA MVOMERO.0

    Mkuu wa Wilaya ya Mvomero  Mkoani Morogogoro Mhe. Judith Nguli ametoa wito kwa Wananchi kuwa na desturi ya kupima afya mara kwa mara. Mhe.Nguli amebainisha hayo Turiani Wilayani Mvomero Mkoani Morogoro katika Maadhimisho ya Siku ya Afya Duniani yaliyokwenda sambamba na kaulimbiu isemayo”Afya Yangu Haki Yangu” “Watu wengi wanadhani afya ni kuwa mnene,muonekano mzuri, afya kutoumwa,

    READ MORE
  • MFUMO WA USAILI WA KIDIGITALI UNAONESHA UWAZI WA KUTOA AJIRA SERIKALINI.

    MFUMO WA USAILI WA KIDIGITALI UNAONESHA UWAZI WA KUTOA AJIRA SERIKALINI.0

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete  amesema kitendo cha Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kuanza kutumia rasmi mfumo wa usaili wa kidigitali unaomuwezesha mwombaji  kusailiwa  eneo alilopo badala ya kusafiri  umbali mrefu, ili kupunguza gharama  kwa Serikali na kwa wanaosailiwa ni mafanikio makubwa

    READ MORE
Translate »