- READ MORE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa 19 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika kwa njia ya mtandao, Ikulu Chamwino, Dodoma leo tarehe 29 Machi, 2022.
READ MORE- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amempokea Balozi wa Jamhuri ya Malawi hapa nchini, Mhe. Andrew Posyantos Efron Zumbe Ikulu, mkoani Dodoma leo tarehe 29 Machi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Malawi hapa nchini, Mhe. Andrew Posyantos EfronREAD MORE