
- Habari, Kimataifa
- June 22, 2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ametembelea Makumbusho ya Fuer Naturkunde Jijini Berlin, Ujerumani tarehe 19 Juni 2023 . Makumbusho haya yamehifadhi mabaki ya Dinosau ( Dinosaur) mkubwa aliyegunduliwa Tanzania Mwaka 1906/07 katika kijiji cha Tendaguru Lindi. Masalia hayo yanakadiriwa kuwepo wakati wa Kipindi cha Jurassic cha mwisho takribani
READ MORE
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mama Mariam Mwinyi wamejumuika katika hafla fupi ya chakula cha mchana na Wachezaji 20 wa Timu ya Tanzania inayoundwa na Wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari wanaoshiriki mashindano ya Olimpiki kwa watu wenye mahitaji maalum. Hafla hiyo ya chakula cha mchana
READ MORE
- Habari, Kimataifa
- June 19, 2023
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda amevitakavikundi vya Ulinzi na Usalama vinavyoshiriki zoezi la Ushirikiano Imara 2023 kwamajeshi ya nchi za Afrika ya Mashariki kuhakikisha vinaliwakilisha vema taifa laTanzania ili kujenga ushirikiano mzuri na nchi jirani.Akizungumza mara baada ya ufunguzi wa zoezi hilo linalofanyika katika mji waMusanze, Rwanda, Jenerali Mkunda
READ MORE