• Rais Samia amezuru kaburi la Hayati Mahatma Gandhi nchini India.

    Rais Samia amezuru kaburi la Hayati Mahatma Gandhi nchini India.0

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizuru kaburi la Hayati Mahatma Gandhi lililopo kwenye Makumbusho ya Mahatma Gandhi Rajghat New Delhi nchini India tarehe 09 Oktoba, 2023.

    READ MORE
  • 0

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, amesema Tanzania haiwezi kufikia Dira ya Maendeleo ya 2030 huku ikiona wasichana wanaendelea kukeketwa kutokana na mila potofu zenye madhara. Waziri Dkt. Gwajima ameyasema hayo wakati akifungua Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa kutokomeza Ukeketaji Oktoba 9, 2023 jijini Dar es

    READ MORE
  • Mhe. Jafo amewataka vijana kuwa mabalozi wa kampeni ya nishati safi ya kupikia na teknolojia.

    Mhe. Jafo amewataka vijana kuwa mabalozi wa kampeni ya nishati safi ya kupikia na teknolojia.0

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais , Muungano na Mazingira, Dkt.Selemani Jafo amewataka vijana kutoka sehemu mbalimbali duniani kuinua sauti  na kuelezea wasiwasi mkubwa kuhusu ongezeko la hasara na uharibifu unaohusiana na athari za mabadiliko ya tabianchi. Amewataka vijana kuwa mabalozi wa kampeni ya nishati safi ya kupikia na teknolojia, kuendeleza usawa wa

    READ MORE
Translate »