Mithali 3:5-10. 5.Mtumaini Bwana kwa moyowako wote,Wala usizitegemee akili zako mwenyewe; 6.Katika njia zako zote mkiri yeye,Naye atayanyoosha mapito yako. 7.Usiwe mwenye hekima machoni pako; Mche BWANA, ukajiepushe na uovu. 8.Itakuwa afya mwilini pako,Na mafuta mifupani mwako. 9.Mheshimu BWANA kwa mali yako, Na kwa malimbuko ya mazao yako yote. 10.Ndipo ghala zako zitakapojazwa kwa wingi,
READ MOREIkiwa Leo ni Sikukuu ya Eid Mubarak, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Abubakar Kunenge amesema Vyombo vya usalama vimejipanga kuhakikisha Wananchi wanasherekea kwa amani na utulivu. RC Kunenge ametoa wito kwa Wazazi kuhakikisha watoto wanaokwenda maeneo ya fukwe na sehemu za michezo ya watoto wanakwenda wakiwa na waangalizi huku akiwataka wanaotumia vyombo
READ MOREWaziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 14, 2021 ameshiriki swala ya Eid iliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es salaam. Akizungumza katika Swala hiyo Waziri Mkuu amewasihi waumini wa Dini ya kiislam kuhudhuria katika Baraza la Eid litalofanyika katika viwanja vya Kareemjee jijini Dar es Salaam ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
READ MOREMkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Abubakar Kunenge leo May 10 amefuturisha Makundi Mbalimbali ya Wananchi wakiwemo Walemavu wa Viungo, Wasioona, Wasiosikia, Wenye ulemavu wa Ngozi, Wajane, Wasiojiweza, Yatima na Wadau wa maendeleo ambapo Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Ally ametumia hafla hiyo kutangaza utaratibu wa Sala ya Eid
READ MORE9, Mei, 2021 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaomba viongozi wa dini katika mahubiri yao waweke msisitizo katika masuala ya kuwekeza kwa vijana ikiwa ni pamoja na kukemea vitendo vyote hatarishi visivyozingatia maadili ya Mtanzania. “Tusisahau pia kwamba ukimwi bado upo. Aidha, vijana wengi wapo katika hatari ya kupata maambukizi. Kwa Msingi
READ MOREMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Hemed Suleiman Abdulla alisema waumini wanapaswa kuzingatia wajibu wao wa kutekeleza Ibada kufuatia mafunzo waliyoyapata ndani ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Aliyasema hayo wakati akisalimiana na Waumini mara baada ya kukamilika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Ijitimai ya zamani Magogoni Wilaya
READ MORE