Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Hemed Suleiman Abdulla alisema waumini wanapaswa kuzingatia wajibu wao wa kutekeleza Ibada kufuatia mafunzo waliyoyapata ndani ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Aliyasema hayo wakati akisalimiana na Waumini mara baada ya kukamilika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Ijitimai ya zamani Magogoni Wilaya
READ MORERAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kwamba mbali ya ibada ni vyema misikiti ikatumiwa katika masuala yanayohusu jamii. Alhaj Dk Mwinyi aliyasema hayo leo wakati akitoa nasaha zake katika ufunguzi wa Masjid Shifaa, Mwembetanga, Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi, hafla iliyohudhuriwa na viongozi mbali
READ MORERAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuomba Mwenyezi Mungu kuwajaalia kheri na malipo mema ya swaumu, wananchi wa Mkoa wa Mkoa Mjini Magharibi waliojumuika pamoja nae katika hafla ya Futari. Dk. Mwinyi ameomba dua hiyo leo katika futari aliyoianda kwa ajili ya wananchi wa Mkoa Mjini Magharibi
READ MOREBaraza Kuu la waislamu wa Tanzania (BAKWATA) linawajulisha waislamu na wananchi wote kwa ujumla kuwa Sikukuu ya Eid El-Fitr itakuwa siku ya Alhamisi tarehe 13/05/2021 au Ijumaa 14/05/2021 kutegemea kuandama kwa mwezi. Sherehe za Eid El-Fitr kitaifa kwa mwaka huu zitafanyika mkoani Dar es Salaam.Swala ya Eid itaswaliwa katika viwanja vya Mnazi mmoja kuanzia saa 1.30 asubuhi. Kwa niaba ya Baraza Kuu
READ MORERAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amefutari pamoja na wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba na kuwataka kuendelea kuiombea nchi amani. Hafla hiyo ya futari iliyoandaliwa na Rais Dk. Mwinyi kwa ajili ya wananchi wa Mkoa Kusini Pemba ilifanyika katika ukumbi wa kiwanja cha kufurahishia watoto Tibirinzi, Chake
READ MORERAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amefutari pamoja na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba na kueleza kwamba kitendo cha kufutarisha ni utamaduni uliopo wa viongozi wakuu wa Zanzibar ambao ameamua kuuendeleza. Hafla hiyo ya futari iliyoandaliwa na Rais Dk. Mwinyi kwa ajili ya wananchi wa Mkoa huo
READ MORE