• Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kwa kuweza kuwafikia wananchi kwa kutumia matumizi ya TEHAMA

  Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kwa kuweza kuwafikia wananchi kwa kutumia matumizi ya TEHAMA0

  Na Barnabas Kisengi-Arusha Naibu Waziri  Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe Deogratius Ndejembi ameipongeza  baadhi ya taasisi za umma, ukiwemo Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kwa kuweza kuwafikia wananchi kwa kutumia matumizi ya TEHAMA. Naibu waziri Ndejembi amesema hayo jijini Arusha katika  ufunguzi sherehe za

  READ MORE
 • VITA YA UKEKETAJI WANAUME WAWE MBELE: DKT. GWAJIMA

  VITA YA UKEKETAJI WANAUME WAWE MBELE: DKT. GWAJIMA0

  Na WMJJWM, Dodoma Wanaume na Wavulana wamehimizwa kushiriki kikamilifu kupinga Mila na Desturi zenye madhara ili kutokomeza ukeketaji.Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wanawake na Makundi Maalum ameyasema hayo jijini Dodoma Leo Februari 02 alipozungumza na Waandishi wa Habari kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya kupinga Ukeketaji dhidi ya Wanawake yanayofanyika  Februari 06 ya 

  READ MORE
 • WAZIRI GWAJIMA AZINDUA MRADI WA KIZAZI HODARI KULINDA AFYA YA WATOTO NA VIJANA BALEHE

  WAZIRI GWAJIMA AZINDUA MRADI WA KIZAZI HODARI KULINDA AFYA YA WATOTO NA VIJANA BALEHE0

  Na Mwandishi Wetu Dodoma Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amezindua Mradi wa kuimarisha Afya, Ustawi na ulinzi kwa watoto na vijana wanaoishi katika mazingira hatarishi  uitwao USAID Kizazi hodari katika hafla fupi iliyofanyika Jijini Dodoma Januari 17, 2023. Akizungumza na washiriki wa hafla hiyo Waziri Dkt.

  READ MORE
Translate »