• TANZIA: Mbunge wa Jimbo la Konde Zanzibar, Khatib Haji afariki Dunia

    TANZIA: Mbunge wa Jimbo la Konde Zanzibar, Khatib Haji afariki Dunia0

    Mbunge wa Jimbo la Konde Ndugu, Khatib Haji wa Chama cha ACT Wazalendo, amefariki Dunia. Umauti umemfika katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili akipatiwa matibabu Alfajiri ya leo. Khatibu aliwahi kuwa Mbunge wa Konde kupitia Chama cha Wananchi CUF mwaka 2010 hadi 2020. Alishawahi kushika nafasi ya Waziri wa Kilimo Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

    READ MORE
  • VIJIJI 80 KUNUFAIKA NA UMEME WA REA MOROGORO

    VIJIJI 80 KUNUFAIKA NA UMEME WA REA MOROGORO0

    NA MWANDISHI WETU -MOROGORO. JUMLA ya Vijiji 80 wilaya ya Morogoro vinatarajiwa kunufaika na mradi wa umeme wa Rea awamu ya tatu baada ya serikali kuviorodhesha vijiji hivyo kuingia kwenye mpango huo ili kuhakikisha kila kijiji kinakuwa na umeme wilayani hapo. Hayo yalisemwa na Kaimu Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO) wilaya ya Morogoro Hilda

    READ MORE
  • 0

    SERIKALI KUTATUA CHANGAMOTO YA MAJI KILOMBERO NA MWANDISHI WETU-MOROGORO. CHANGAMOTO kubwa iliyokuwa ikiwakumba wananchi wa Kilimobero ya uhaba wa maji sasa imepatiwa ufumbuzi wa kudumu baada ya serikali kujenga mradi wa maji katika wilaya hiyo wenye thamani zaidi ya shilingi bilioni 800. Hayo yalisema na Meneja wa Wakala wa Maji Vijijini RUWASA wilaya ya Kilombero

    READ MORE
Translate »