• WAZIRI MKUU AUNGANA NA MAMIA KUMUAGA MREMA

  WAZIRI MKUU AUNGANA NA MAMIA KUMUAGA MREMA0

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kumkumbuka Mhe. Augustino Lyatonga Mrema kutokana na mchango wake mkubwa wa kuendeleza mahusiano na vyama vya siasa. “Mheshimiwa Mrema atakumbukwa kama kiongozi mkuu wa Chama cha TLP kwa muda mrefu sana. Na akiwa katika siasa, aliisaidia Serikali kupata mwelekeo mzuri wa vyama vya siasa,” amesema Waziri Mkuu. Ametoa

  READ MORE
 • HISTORIA UNDANI SAFARI YA MAISHA YA AUGUSTINO LYATONGA MREMA

  HISTORIA UNDANI SAFARI YA MAISHA YA AUGUSTINO LYATONGA MREMA0

  Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustino Lyatonga Mrema (77) amefariki dunia leo Jumapili, Agost 21, 2022, saa 12.15 asubuhi. MWENDO ameumaliza! Augustino Lyatonga Mrema hatunaye tena! Amefikwa na mauti asubuhi ya Agosti 21, 2022 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mrema, mwanasiasa nguli wa siasa za Tanzania, amefikwa na umauti akiwa na

  READ MORE
 • #BREAKING: MREMA AFARIKI DUNIA

  #BREAKING: MREMA AFARIKI DUNIA0

  Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustino Lyatonga Mrema (77) amefariki dunia leo Jumapili, Agost 21, 2022, saa 12.15 asubuhi, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam. Mrema aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, alizaliwa Desemba 31, 1944, Vunjo mkoani Kilimanjaro. Msemaji wa MNH, Aminieli Eligaisha amesema, Mrema alilazwa hospitalini hapo

  READ MORE
Translate »