Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustino Lyatonga Mrema (77) amefariki dunia leo Jumapili, Agost 21, 2022, saa 12.15 asubuhi, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam. Mrema aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, alizaliwa Desemba 31, 1944, Vunjo mkoani Kilimanjaro. Msemaji wa MNH, Aminieli Eligaisha amesema, Mrema alilazwa hospitalini hapo
READ MORENa Englibert Kayombo – WAF, Isimani, Iringa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. SAMIA SULUH HASSAN amewataka wazazi katika Mkoa wa Iringa kuongeza usimamizi katika masuala ya lishe bora kwa watoto ili kuwa na watoto wenye afya bora pamoja na rasilimali endelevu kwa manufaa ya Taifa. RAIS SMIA amesema hayo leo akiwa Isimani
READ MOREKatibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Zainab Chaula akimsikiliza Afisa Mfawidhi wa Makazi ya Wazee Fungafunga yaliyopo Mkoani Morogoro Bi. Rehema Kombe wakati alipotembelea na kukagua huduma zinazotolewa katika makazi hayo. Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Zainab Chaula akikagua bustani
READ MORENaibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Amon Mpanju akizungumza wakati wa tukio la utoaji wa msaada lililofanywa na Klabu ya Simba katika Makazi ya Wazee Nunge Kigamboni Mkoani Dar es Salaam.Mkurugenzi Mkuu wa Klabu ya Simba Babra Gonzalez akimkabidhi zawadi mmoja wa wazee anayehudumiwa katika Makazi ya Wazee
READ MORENa Barnabas Kisengi-Dodoma SERIKALI imesema itaendela kuongeza vituo vya huduma ya afya ya akili nchini ili kuboresha utoaji wa huduma hiyo kwa lengo la kukabiliana na afya ya akili.Mratibu wa Hospitali za afya ya akili Tanzania Oresmos Mndeme amesema hayo leo jijini Dodoma wakati akizindua huduma ya utoaji elimu kwa jamii kuhusu afya ya akili.
READ MORENaibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wanawake na Makundi Maalumu Mhe.Mwanaidi Khamis akiongea na wananchi wa halmashauri ya Ikungi wakati wa uzinduzi wa wiki ya unyonyeshaji maziwa ya mama kwa watoto. Naibu Waziri Mhe.Mwanaidi Khamis akimsalimia mtoto mchanga aliyezaliwa kwenye kituo cha Afya cha Ikungi. Mhe.Mwanaidi akisalimiana na watoa huduma za afya wa kituo cha
READ MORE