TAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2022
- ELIMU
- January 4, 2023
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali haitosita kumchukulia hatua mzazi au mtu yeyote atakayemzuia mwanafunzi kupata haki yake ya elimu, hivyo amewataka wazazi wote wenye wanafunzi waliofaulu kujiunga na kidato cha kwanza kuhakikisha kuwa watoto hao wanaripoti kwenye shule walizopangiwa mara moja. Ameyasema hayo leo (Ijumaa, Februari 10, 2023) wakati akiahirisha Mkutano wa 10 wa
READ MORENa Barnabas Kisengi Dodoma Kufuatia kuibuka kwa uwepo wa mafundisho na vitabu vyenye mafundisho kinyume na maadili ya kitanzania,Serikali kupitia Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia imefungua kituo cha huduma kwa wateja kwa ajili ya kutoa taarifa zinazokiuka miongozo na maadili katika taasisi za elimu. Aidha amewasisitiza wamiliki wa shule kuhakikisha wanafuata Waraka Namba nne ambao
READ MOREBaraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne yaliyofanyika Novemba 14 hadi Desemba 1, 2022, Tanzania Bara na Visiwani. Matokeo hayo yametangazwa leo Jumapili, Januari 29, 2023, makao makuu ya Necta jijini Dar es Salaam na Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Athumani Amasi. Bonyeza hapa chini kutazama Matokeo👇👇
READ MORE