WIZARA YA ELIMU YATOA MAFUNZO KWA VIONGOZI NA WATUMISHI KUHUSU MASUALA YA PROTOKALI
- ELIMU
- November 1, 2022
Serikali imetangaza wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2022 huku ikisema imawapa kipaombele wanafunzi wa vijijini shule za kitaifa za bweni. Akitangaza uchaguzi huo leo Jumatano Novemba 24, 2021, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Tamisemi), Ummy Mwalimu amesema nafasi zinazokwenda kwa wanafunzi wa bweni ni za shule za kitaifa. Katika upangaji wa
READ MOREWaziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amesema Wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari watakaokatisha masomo yao kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo utoro, mimba na changamoto mbalimbali za kifamilia watapewa fursa ya kurejea Shuleni katika mfumo rasmi. Waziri Ndalichako ametoa kauli hii leo akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma kuhusu mafanikio
READ MORENA HERI SHAABAN MBUNGE wa Segerea Bonah Ladslaus Kamoli amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano Samia Hassan Suluhu,kwa kuipatia jimbo la Segerea Bilioni 1.6 kwa ajili ya madarasa ya UVIKO 19. Mbunge Bonah alitoa pongeza hizo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo wakati wa ziara yake ya Sekta ya Elimu kukagua madarasa
READ MORE