TAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2022
- ELIMU
- January 4, 2023
Na Barnabas Kisengi-Dodoma Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule, amefanya ziara ya kukagua ujenzi wa madarasa ya shule za sekondari unaendelea kujengwa jijini Dodoma.Madarasa hayo yanayojengwa kwa fedha zilizotolewa na Serikali kwa ajili ya kukidhi nafasi kwa wanafunzi wapya wa kidato cha kwanza wanaotarajia kuanza masomo yao mwakaka 2023. Mkoa wa Dododma Rosemary Senyamule
READ MOREKATIKA kuimarisha utendaji Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inatoa mafunzo kwa viongozi na watumishi juu ya masuala ya Protokali kwa lengo la kuwajengea uwezo. Akifungua mafunzo hayo jijini Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Francis Michael amewataka viongozi na watumishi hao kuhakiksha wanashiriki kikamilifu ili matokeo ya mafunzo hayo yaweze kuonekana katika utendaji.
READ MORENa WyEST, DAR ES SALAAM. Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imepongeza Wizara ya Elimu na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kwa kuwa na mfumo wa kielektroniki wa usahihishaji mitihani ambao umerahisisha zoezi la usahihishaji mitihani ya Taifa. Pongezi hizo zimetolewa Jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe.
READ MORENa Moreen Rojasi Dodoma Tume ya utumishi wa walimu imewataka walimu kuzingatia miiko na maadili ya kazi zao na kutekeleza majukumu kwa weledi ili kuleta ubora wa elimu hapa nchini. Katibu Mkuu wa Tume ya utumishi wa Walimu Mwalimu Paulina Nkwama amesema hayo jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya Utekelezaji wa
READ MORENa Mathias Canal, WEST-Dar es salaam Kwa mujibu wa kifungu cha 4(8) cha kanuni za mitihani 2016, Serikali imeifungia shule ya Awali na Msingi Chalinze Modern Islamic kuwa kituo cha mitihani kwa muda usiojulikana.Shule hiyo imefungiwa kutokana na taarifa ya Kamati ya Mitihani ya Mkoa wa Pwani pamoja na taarifa ya Wataalam wa Miandiko (Forensic
READ MORENa.Moreen Rojas, Dodoma. Taasisi ya Elimu ya watu wazima( TEWW) imetoa wito Kwa wananchi kujiunga na program za elimu ya watu wazima kwani inatoa elimu kwa nadharia na vitendo kwa kumjengea mwanafunzi uwezo wa kuwa mtu bora mwenye uwezo wa kujiendeleza na kupambana na changamoto za maisha. Hayo yamesemwa na mkurugezi wa taasisi ya Elimu
READ MORE