• WANAFUNZI 10 BORA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2021

  WANAFUNZI 10 BORA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 20210

  Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) Jumamosi, Januari 15, 2022 limetangaza matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha nne uliofanyika Novemba 2021. Matokeo hayo yametangazwa na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk. Charles Msonde ambapo pia, baraza hilo limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa kitaifa ya darasa la nne na kidato cha pili 2021.

  READ MORE
 • WALIMU WENYE ULEMAVU WAELEKEZA KILIO CHAO SERIKALINI

  WALIMU WENYE ULEMAVU WAELEKEZA KILIO CHAO SERIKALINI0

  Walimu wenye ulemavu wamesema wamekuwa wakikaliwa na changamoto mbalimbali katika utekelezaji wa majukumu yao ikiwemo miundombinu kutokuwa rafiki kwao. Wakizungumza leo jijini Dodoma katika kongangano lililowakutanisha walimu wenye ulemavu Tanzania, wamesema hali hiyo imepelekea kutofanya kazi zao kwa ufanisi unatakiwa. Aidha, wameiomba serikali kuwasaidia walimu wenye ulemavu kwa kupunguza changamoto zinazowakabili ambazo zimekuwa kikwazo kikubwa

  READ MORE
 • Mbunge wa Chalinze Mhe.Ridhiwani ametembelea ujenzi wa Shule ya Sekondari katika eneo la Vigwaza.

  Mbunge wa Chalinze Mhe.Ridhiwani ametembelea ujenzi wa Shule ya Sekondari katika eneo la Vigwaza.0

  Mbunge wa jimbo la Chalinze Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete ametembelea Kijiji cha Ruvu ambacho wameanzisha ujenzi wa Shule ya Sekondari kutatua tatizo la Umbali watoto utembea kufuata elimu katika Mji wa Vigwaza. Ambapo Mheshimiwa Ridhiwani ameahidi kuwaunga Mkono juhudi zao za Ujenzi kwa Mabati 90 kuezeka madarasa 4 na mifuko ya saruji kama alivyofanya kwenye ujenzi

  READ MORE
Translate »