WAKULIMA MKOANI DODOMA WASHAURIWA KULIMA MAZAO YANAYOHIMILI UKAME
- Kilimo
- June 2, 2021
. Na Barnabas Kisengi Dodoma Serikali kwa kushirikiana na taasisi za fedha imejipanga kuagiza mbegu bora na kuzigawa kwa wamiliki wa viwanda vya mafuta nchini ili waweze kuingia mikataba na wakulima wakubwa, au vyama vya Ushirika ambavyo vitaingia mikataba na wakulima ili kuwapatia mbegu hizo kwa ajili ya kuongeza uzalishaji na tija katika mazao ya
READ MOREWaziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Bodi ya Korosho Tanzania ihakikishe inatafuta masoko ya uhakika ya zao hilo na yatakayotoa bei nzuri na kuwanufaisha wakulima. Pia, Waziri Mkuu ameitaka bodi hiyo isimamie mwenendo wa ujenzi wa viwanda vidogo na vikubwa vya kubangulia korosho katika maeneo yote yanayolima zao hilo ili kuondokana na uuzwaji wa korosho ghafi.
READ MORE