WAKULIMA MKOANI DODOMA WASHAURIWA KULIMA MAZAO YANAYOHIMILI UKAME
- Kilimo
- June 2, 2021
Na Moreen Rojas Dodoma Bodi ya usimamizi wa Stakabadhi za ghala (WRRB) imetoa wito kwa madalali kuacha tabia ya kuwarubuni wakulima na badala yake kuwaacha waingie kwenye mfumo wa Stakabadhi ghalani ili kuuza mazao yao kulingana na bei iliyopo sokoni. Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa stakabadhi za ghala (WRRB) Asangye Bangu amesema hayo
READ MORENa Barnabas Kisengi Dodoma Imeelezwa kuwa mpango wa mbolea ya ruzuku umeleta nafuu kubwa kwenye shuguli za uzalishaji wa kahawa kwa kampuni ya kilimo cha kahawa ya Karatu Coffee Eatate LTD iliyoko Wilaya ya Karatu mkoani Arusha. Kabla ya serikali kuja na mpango wa mbolea ya ruzuku kampuni ilikuwa ikitumia kiasi cha ahilingi milioni 250
READ MORENa Barnabas Kisengi Dodoma. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule amefanya kikao na Maafisa ugani kutoka Wilaya za halmashauri zote za mkoa wa Dodoma ikiwa ni jitihada za kuleta mapinduzi ya uchumi unaotokana na sekta ya Kilimo Mkoani Dodoma.Senyamule amesikitishwa na takwimu za matumizi ya ardhi ya kilimo inayotumiwa na wakulima ukilinganisha na ukubwa
READ MORENa Barnabas Kisengi Ruvuma. Waziri wa Kilimo, Husein Bashe amemuomba Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Julius Ningu kuwawezesha wasambazaji wa mbolea kufanya kazi mpaka saa 12 jioni ili waweze kuwahudumia wakulima wanaohitaji huduma hiyo kwa msimu huu wa kilimo. Tuwawezesha kupata askari watakaolinda eneo la biashara na baadaye kuwasindikiza bank ili waweze kuweka pesa
READ MORENa Barnabas Kisengi Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye ameipongeza Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) kwa kuchukua hatua za haraka katika kutatua changamoto ya uchache wa mawakala wa mbolea za ruzuku katika mkoa huo. Ametoa pongezi hizo Oktoba, 262022 kwa Mkurugenzi Mtendaji wa TFRA, Dkt. Stephan Ngailo aliyewasili mkoani hapo kwa shughuli
READ MORE