• Rais Dkt Mwinyi amepongezwa na wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM kwa utendaji wake.

    Rais Dkt Mwinyi amepongezwa na wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM kwa utendaji wake.0

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein AliMwinyi amepongezwa na Wajumbe wa Kamati Kuu Maalum ya HalmashauriKuu ya Taifa ya CCM chini ya Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri yaMuungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza mwaka mmojawa uongozi wake tokea aingie madarakani.Akitoa pongezi hizo kwa kuungana pamoja na Wajumbe

    READ MORE
  • CCM YAMPONGEZA RAIS SAMIA MAPAMBANO YA CORONA

    CCM YAMPONGEZA RAIS SAMIA MAPAMBANO YA CORONA0

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepongeza Mwenyekiti wa Chama hicho Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mapambano dhidi ya UVIKO19 huku kikitoa wito kwa Viongozi wa Kamati za Siasa kuanzia ngazi ya Shina hadi Mkoa kuhakikisha wana simamia kwa karibu mradi huo wa kupambana na UVIKO19 ili Fedha

    READ MORE
  • CHADEMA: TUKO TAYARI KUZUNGUMZA NA RAIS SAMIA

    CHADEMA: TUKO TAYARI KUZUNGUMZA NA RAIS SAMIA0

    Zifuatazo ni baadhi ya nukuu za Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tanzania Bara, Benson Kigaila alipozungumza na Waandishi wa Habari mapema leo Oktoba 11, 2021 katika Makao Makuu ya chama hicho yaliyopo Mtaa wa Ufipa Kinondoni Jijini Dar es Salaam “Mwezi April Mwenyekiti Freeman Mbowe alimuandikia barua Rais Samia ya

    READ MORE
Translate »