• Spika Dkt. Tulia amezungumza na Mwenyekiti wa UWT Mary Chatanda.

    Spika Dkt. Tulia amezungumza na Mwenyekiti wa UWT Mary Chatanda.0

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Ndg. Mary Chatanda alipomtembelea leo tarehe 3 Februari, 2023 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amefanya mazungumzo na Mwenyekiti waREAD MORE
  • SOPHIA MJEMA AWATAKA VIONGOZI CCM KUCHANGAMSHA AKILI

    SOPHIA MJEMA AWATAKA VIONGOZI CCM KUCHANGAMSHA AKILI0

    Na Mwandishi Wetu Dar es salaam Katibu mpya wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Idara ya Itikadi na Uenezi Sophia Mjema amewataka watumishi wa Chama na maafisa wa idara yake ya Itikadi na Uenezi kuchangamsha akili na weledi katika kutekeleza majukumu yao. Mjema ambaye aliteuliwa January 14 2023  kupitia vikao

    READ MORE
  • RAIS DKT. HUSSEIN MWINYI AKUTANA NA VIONGOZI WA UWT

    RAIS DKT. HUSSEIN MWINYI AKUTANA NA VIONGOZI WA UWT0

    Na Mwandishi Wetu Zanzibar Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi leo January 16 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Umoja  wa Wanawake Tanzania (UWT) ,Ikulu Zanzibar. Uongozi wa Jumuiya hiyo uliongozwa  na Mwenyekiti wa UWT Taifa

    READ MORE
  • CCM YAFANYA MABADILIKO WAJUMBE SEKRETARIETI YA TAIFA

    CCM YAFANYA MABADILIKO WAJUMBE SEKRETARIETI YA TAIFA0

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt SAMIA SULUH HASSAN ameongoza kikao cha kamati kuu CCM Taifa January 14 2023 Jijini Dar es salaam ambapo katika kikao hicho kimefanya mabadiliko ya nafasi mbalimbali za Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Taifa. Katika mabadiliko ya nafasi hizo za juu

    READ MORE
  • Wajumbe wa Halmashauri kuu Taifa (NEC) Mwanza wataka CCM ijibu hoja kwa Usitarabu Majukwaani

    Wajumbe wa Halmashauri kuu Taifa (NEC) Mwanza wataka CCM ijibu hoja kwa Usitarabu Majukwaani0

    Na Mwandishi Wetu Mwanza WAJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa wa mkoani Mwanza wamewaomba viongozi wenzao kujibu hoja majukwaani kwa hekima na busara wakizingatia utekelezaji unaofanywa na serikali yao. Kauli hiyo imetolewa  Jijini Mwanza na wajumbe hao, Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula na Elen Bogohe katika

    READ MORE
  • KATIBU MKUU CCM TAIFA AMEWATAKA WAJUMBE WA UCHAGUZI WA MIKOA KUCHAGUA VIONGOZI WAADILIFU.

    KATIBU MKUU CCM TAIFA AMEWATAKA WAJUMBE WA UCHAGUZI WA MIKOA KUCHAGUA VIONGOZI WAADILIFU.0

    Na Moreen Rojas, Dodoma. Katibu Mkuu CCM Ndg.Daniel Chongolo amewataka wajumbe wa uchaguzi wa mikoa kuchagua viongozi waadilifu. Chongolo ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Covention jijini Dodoma. Amesema kuwa wameamua kusimamisha uchaguzi wa vijana mkoa wa Simiyu kutokana na rushwa,kusimamisha uchaguzi wa nafasi ya mjumbe Mbeya kwa

    READ MORE
Translate »