• HABARI PICHA – MASAUNI AWATAKA WATENDAJI WAPYA CCM KUFUATA MAADILI YA CHAMA, KUBUNI MIRADI YA MAENDELEO

  HABARI PICHA – MASAUNI AWATAKA WATENDAJI WAPYA CCM KUFUATA MAADILI YA CHAMA, KUBUNI MIRADI YA MAENDELEO0

  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Watendaji mbalimbali wa CCM Jimbo la Kikwajuni katika Mafunzo Elekezi kwa Watendaji hao, yaliyofanyika jimboni humo, Unguja, Zanzibar, leo Oktoba 6, 2022. Masauni amewataka Watendaji hao waliochaguliwa hivi karibuni kufuata maadili ya chama na kuwa wabunifu wamiradi mbalimbali yaREAD MORE
 • KAMATI YA SIASA CCM KATA YA KILIMANI KUANDAA MKUTANO KUWASHUKURU WANACHAMA

  KAMATI YA SIASA CCM KATA YA KILIMANI KUANDAA MKUTANO KUWASHUKURU WANACHAMA0

  Ña Barnabas Kisengi-Dodoma Kamati ya siasa ya Chama cha Mapinduzi kata ya Kilimani imekutana katika kikao chake cha kwanza kwa mujibu wa Katiba kwaaajili ya kujadili mambo mbalimbali ya maendeleo na kukijenga Chama cha Mapinduzi. Akifungua kikao hicho Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Kata ya Kilimani Nathan Chibehe amesema “Sasa uchaguzi wa Chama cha Mapinduzi kwa

  READ MORE
 • UWT KATA YA KILIMANI YAPATA UONGOZI MPYA

  UWT KATA YA KILIMANI YAPATA UONGOZI MPYA0

  Na Barnabas Kisengi Dodoma Chama cha Mapinduzi kata ya KILIMANI Jijini Dodoma kimekamilisha kufanya uchaguzi wa jumuiya ya wanawake UWT kata ya KILIMANI na kuwapata viongozi wa kata hiyo baada ya uchaguzi huo kuhairishwa mara kwa mara. Uchaguzi huo wa jumuiya ya wanawake UWT kata ya KILIMANI umekamilika kwa kumpata Mwenyekiti na katibu wa UWT

  READ MORE
 • Nathan Chibehe Aibuka kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Kata ya Kilimani Jijini Dodoma

  Nathan Chibehe Aibuka kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Kata ya Kilimani Jijini Dodoma0

  Na Barnabas Kisengi-Dodoma Nathan Chibehe ameibuka kuwa mshindi nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Kata ya Kilimani Jijini Dodoma baada ya kumshinda aliyekuwa akitetea nafasi hiyo, Herry Kiwaya kufuatia chaguzi zinazoendelea kufanyika ndani ya Chama Cha Mapinduzi CCM. Akitangaza matokeo ya uchaguzi huo Jijini Dodoma uliofanyika katika Jengo la Ofisi ya Chama cha Mapinduzi 

  READ MORE
 • RAILA ODINGA AKATAA MATOKEO YA URAIS KENYA

  RAILA ODINGA AKATAA MATOKEO YA URAIS KENYA0

  Nairobi. Aliyekuwa mgombea urais wa Kenya, kupitia wa Azimio la Umoja, Raila Odinga Raila, amekataa matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 9, 2022, yaliyotangazwa jana na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ya Kenya, Wafula Chebukati. Jana, Chebukati alimtangaza mgombea urais kupitia Kenya Kwanza Dk William Ruto kuwa mshindi kwa kupata kura milioni

  READ MORE
 • RUTO ASHINDA ASHINDA URAIS KENYA

  RUTO ASHINDA ASHINDA URAIS KENYA0

  Tume ya Uchaguzi Huru na Mipaka (IEBC) imemtangaza aliyekuwa Naibu Rais, William Ruto (55) kuwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano kwa tiketi ya Chama cha UDA kufuatia Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 9, 2022. Tume imesema Ruto amepata Kura 7,176,141 sawa na asilimia 50.49 huku akifuatiwa na Raila Odinga kutoka Chama cha Azimio la Umoja

  READ MORE
Translate »