• UTAMBUZI WA MIFUGO KWA HERENI ZA KIELEKTRONIKI UMESITISHWA KWA MUDA-MAJALIWA

  UTAMBUZI WA MIFUGO KWA HERENI ZA KIELEKTRONIKI UMESITISHWA KWA MUDA-MAJALIWA0

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa zoezi la utambuzi wa mifugo kwa kutumia hereni za kielektroniki na kuzuka kwa moto katika Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro, Bungeni jijini Dodoma Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa zoezi la utambuzi wa mifugo kwa kutumia hereni za kielektroniki na kuzuka kwa moto

  READ MORE
 • SERIKALI INATAMBUA MCHANGO ULIOTOLEWA NA BALOZI RUPIA-MAJALIWA

  SERIKALI INATAMBUA MCHANGO ULIOTOLEWA NA BALOZI RUPIA-MAJALIWA0

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inatambua mchango mkubwa uliotolewa na marehemu Balozi Paul Rupia wakati wa utumishi wake na hata baada ya kustaafu. “Moja ya jambo ambalo halitasahaulika ni uthubitu wake wa kuanzisha Benki ya Watu wa Dar es Salaam (DCB) ambayo alikuwa mwenyekiti wake na hadi  anaondoka katika uongozi aliicha benki hiyo ikiwa

  READ MORE
 • RAIS SAMIA AIDHINISHA BILIONI 150 ZA RUZUKU YA MBOLEA

  RAIS SAMIA AIDHINISHA BILIONI 150 ZA RUZUKU YA MBOLEA0

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma  hotuba ya kuahirisha Bunge jijini Dodoma,  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongengezwa na wabunge baada ya kusoma hotuba ya kuahirisha Bunge jijini Dodoma, Septemba 23, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) ………………………………….. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ameidhinisha shilingi bilioni 150 kutumika kwa ajili ya ruzuku

  READ MORE
 • BUNGE LAPITISHA MUSWADA WA SHERIA YA USIMAMIZI WA MAAFA

  BUNGE LAPITISHA MUSWADA WA SHERIA YA USIMAMIZI WA MAAFA0

  Ña Barnabas Kisengi Dodoma Muswada wa sheria ya Usimamizi wa maafa Imepitishwa bungeni leo jijini Dodoma baada ya kuwasilisha na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene  alisema  kupitishwa kwa muswada huo  kutawezeshwa kutungwa . Waziri Simbachawene  amesema katika kipindi cha miaka saba ya utekelezaji wa sheria ya maafa

  READ MORE
 • MAJALIWA: MARUFUKU WANAFUNZI KUTOZWA MICHANGO KIHOLELA

  MAJALIWA: MARUFUKU WANAFUNZI KUTOZWA MICHANGO KIHOLELA0

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Ofisi ya Rais-TAMISEMI ishirikiane na Sekretarieti  za  Mikoa na  Halmashauri zote kufuatilia matumizi na upatikanaji wa taarifa za fedha za Elimumsingi bila ada na zihakikishe wanafunzi hawatozwi  michango kiholela. Vilevile, Mheshimiwa Majaliwa amezitaka taasisi hizo zihakikishe kuanzia sasa maelezo ya kujiunga na shule za umma (Joining Instructions) yanahakikiwa na kupewa idhini

  READ MORE
 • UTENDAJI WA WAKURUGENZI NA WAKUU WA IDARA KUPIMWA-MAJALIWA

  UTENDAJI WA WAKURUGENZI NA WAKUU WA IDARA KUPIMWA-MAJALIWA0

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inakusudia kupima utendaji wa Wakurugenzi na Wakuu wa Idara kwa kutumia viashiria muhimu hususan usimamizi wa mapato na makusanyo ya ndani pamoja na upelekaji wa fedha kwenye miradi ya maendeleo. Amesema watendaji hao pia watapimwa  kwa namna wanavyosimamia mikopo ya asilimia 10 ikiwa ni pamoja na marejesho, usimamizi wa miradi ya maendeleo na uzuiaji

  READ MORE
Translate »