• MAJALIWA: MARUFUKU WANAFUNZI KUTOZWA MICHANGO KIHOLELA

  MAJALIWA: MARUFUKU WANAFUNZI KUTOZWA MICHANGO KIHOLELA0

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Ofisi ya Rais-TAMISEMI ishirikiane na Sekretarieti  za  Mikoa na  Halmashauri zote kufuatilia matumizi na upatikanaji wa taarifa za fedha za Elimumsingi bila ada na zihakikishe wanafunzi hawatozwi  michango kiholela. Vilevile, Mheshimiwa Majaliwa amezitaka taasisi hizo zihakikishe kuanzia sasa maelezo ya kujiunga na shule za umma (Joining Instructions) yanahakikiwa na kupewa idhini

  READ MORE
 • UTENDAJI WA WAKURUGENZI NA WAKUU WA IDARA KUPIMWA-MAJALIWA

  UTENDAJI WA WAKURUGENZI NA WAKUU WA IDARA KUPIMWA-MAJALIWA0

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inakusudia kupima utendaji wa Wakurugenzi na Wakuu wa Idara kwa kutumia viashiria muhimu hususan usimamizi wa mapato na makusanyo ya ndani pamoja na upelekaji wa fedha kwenye miradi ya maendeleo. Amesema watendaji hao pia watapimwa  kwa namna wanavyosimamia mikopo ya asilimia 10 ikiwa ni pamoja na marejesho, usimamizi wa miradi ya maendeleo na uzuiaji

  READ MORE
 • UWEKAJI VIGINGI PORI LA LOLIONDO HAUTOATHIRI MAENDELEO YA WANANCHI-MAJALIWA

  UWEKAJI VIGINGI PORI LA LOLIONDO HAUTOATHIRI MAENDELEO YA WANANCHI-MAJALIWA0

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema zoezi la uwekaji wa vigingi katika eneo la kilometa za mraba 1,500 la Pori Tengefu la Poloreti-Loliondo ambalo limekamilika kwa asilimia 100 halitoathiri maendeleo ya wakazi waishio kwenye eneo la vijiji 14 vinavyopakana na eneo hilo. Hata hivyo, Mheshimiwa Majaliwa amesisitiza kwamba hakutakuwepo na kijiji chochote kitakachofutwa na hakuna miundombinu itakayoondolewa kwa kuwa ndani ya eneo la kilometa za mraba 1,500 hakuna miundombinu yoyote. Ameyasema hayo leo

  READ MORE
 • Hotuba ya Waziri Mkuu ya kuahirisha Mkutano wa Saba wa Bunge Juni 30, 2022

  Hotuba ya Waziri Mkuu ya kuahirisha Mkutano wa Saba wa Bunge Juni 30, 20220

  HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM MAJALIWA MAJALIWA (MB.), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI AKITOA HOJA YA KUAHIRISHA MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA 12 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 30 JUNI, 2022 UTANGULIZI Shukurani 1.           Mheshimiwa Spika, awali ya yote, nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema ambaye ametuwezesha kuhitimisha shughuli zote

  READ MORE
 • WAZIRI MKUU AONYA UPOTOSHAJI UWEKAJI ALAMA LOLIONDO

  WAZIRI MKUU AONYA UPOTOSHAJI UWEKAJI ALAMA LOLIONDO0

   *Asisitiza hakuna kijiji kitakachohamishwa tarafa ya Loliondo WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania na wana-Loliondo kupuuza upotoshaji unaofanywa na baadhi watu wasiolitakia mema Taifa kuhusu eneo la hifadhi ya Loliondo lililopo Tarafa ya Loliondo na badala yake waendelee kuisikiliza Serikali.  “Kilichotokea si uhalisia, hakuna tishio lolote, wale wameenda msituni kuweka alama katika eneo ambalo liko

  READ MORE
 • TUNAIMARISHA MIFUMO ITAKAYOZUIA WANYAMAPORI KUINGIA KATIKA MAKAZI YA WANANCHI-MAJALIWA

  TUNAIMARISHA MIFUMO ITAKAYOZUIA WANYAMAPORI KUINGIA KATIKA MAKAZI YA WANANCHI-MAJALIWA0

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali kwa sasa inaimarisha mifumo itakayozuia wanyamapori wakiwemo tembo kuingia katika makazi ya wananchi ili waweze kuishi kwa amani. Amesema baada ya Serikali kuimarisha ulinzi na kuzuia uwindaji haramu kwa sasa nchini kuna ongezeko kubwa la wanyama, hivyo inafanya jitihada kuzuia wanyama hao kuingia katika makazi. Ameyasema hayo leo (Alhamisi,

  READ MORE
Translate »