Furaha ya waigizaji wa Huba safari ya Dubai.
- Habari, Kitaifa, Sanaa na Burudani
- February 21, 2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa kuwepo kwa Tamasha la Kimataifa la Filamu la Zanzibar (ZIFF), ni njia moja wapo ya kuukuza na kuutangaza utalii pamoja na urithi wa Zanzibar. Rais Dk. Mwinyi aliyasema hayo leo Ikulu Jijini Zanzibar wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na uongozi
READ MOREAdeladius Makwega -Kwimba Mwanza (WHUSM) Serikali imesema kuwa Watanzania wanahitaji burudani ya muziki kwani mara baada ya kujishughulisha na shughuli za maendeleo mchana kutwa basi jioni ni muda wa kupumzisha miili na akili zao. Hayo yamesemwa Julai 17, 2021 katika mahafali ya 10 ya Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya ambapo Mheshimiwa Pauline Gekul Naibu
READ MORESerikali imeanza safari ya utoaji tuzo mbalimbali kwa wadau wa sekta za Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo zitakazoenzi vipaji na mafanikio katika sekta hizo.Hayo yameelezwa jana usiku wa Julai 3, 2021, katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere, Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo aliyemwakilisha
READ MOREMkurugenzi wa Taasisi ya International Promotion Through Sports kutoka Brazil Bw. Paul Pan ametembelea Chuo cha Maendeleo ya Michezo cha Malya mkoani Mwanza ili kuona ni jinsi tasisi hiyo itakavyoshirikiana na Serikali kukiboresha chuo hicho. Bw. Paul amefanya ziara hiyo Juni 24, 2021 kufuatia mazungumzo ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent
READ MORENaibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul ametoa wito kwa wawekezaji wa kumbi za burudani nchini kutoa fursa kwa bendi za muziki wa dansi na wasanii wachanga kufanya maonesho katika kumbi hizo ili kukuza na kuendeleza Sanaa nchini. Mhe. Gekul amesema hayo Juni 25, 2021 mjini Kahama wakati akifungua eneo la
READ MORE