Na Moreen Rojas Dodoma Katibu Mtendaji wa baraza la uwezeshaji wananchi kiuchumi (NEEC) Bi.Beng’i Issa amewaasa wanawake kuchukua mikopo kwa malengo na sikufanya shughuli ambazo zitawakwamisha kurejesha mikopo hiyo.Ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma wakati akielezea utekelezaji wa majukumu ya baraza la taifa la uwezeshaji wananchi kiuchumi (NEEC). Aidha amesema kuwa
READ MORENa Mwandishi Dar es salaam Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama amesema mfuko wa uwekezaji wa pamoja wa FAIDA FUND umeanzishwa kwa lengo la kuwanufaisha watanzania wote wa kipato cha chini, kati na cha juu ambao wamekuwa wakikabiliana na changamoto ya kupata mtaji wa kuwekeza
READ MORENa, Wellu Mtaki, Dodoma Wizara ya fedha na mipango imeandaa wiki ya huduma za fedha kitaifa ambayo lengo lake ni kutoa Elimu kwa wananchi ili kujenga uelewa na weledi katika matumizi sahihi ya fedha lengo likiwa ni kukuza uchumi na kuondoa umasikini. Kauli hiyo Imetolewa leo November 15 mwaka huu jijini dodoma na kamishina wa
READ MORENa Barnabas Kisengi Serikali kupitia Ofisi ya Msajili wa Hazina hadi kufikia Juni 30 2022 imefanikiwa kukusanya kiasi cha Shilingi bilioni 852.98Hadi kufikia tarehe 30 Juni 2022, Serikali kupitia Ofisi ya Msajili wa Hazina imefanikiwa kukusanya kiasi cha Shilingi bilioni 852.98 sawa na asilimia 109.5 na kuvuka lengo la kutakiwa kukusanya shilingi bilioni 779.03 na
READ MORE