Na.Faustine Galafoni,Dodoma, Mkurugenzi wa jiji la Dodoma Joseph Mafuru amesema katika zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara wadogo[Machinga]katika soko la Sabasaba ili kupisha ujenzi na ukarabati wa soko hilo lazima uhakiki madhubuti ufanyike ili kila mfanyabiashara apate haki yake . Mafuru amebainisha hay oleo April,20,2022 jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari kutokana na baadhi ya
READ MORE*Awataka pia wahamasishe wananchi kuhusu Sensa ya Makazi na Watu WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wafanye ziara kwenye masoko na maduka ili kupata hali halisi ya bei za bidhaa na wachukue hatua kudhibiti upandaji holela wa bei hizo. Waziri Mkuu ametoa maagizo hayo leo (Ijumaa, Aprili 22, 2022)
READ MORE