
- Habari, Kitaifa, Uchumi
- January 2, 2022
WACHIMBAJI wadogo wa madini nchini wametakiwa kuachana na migogoro inayosababisha kusimama kwa shughuli zao na wajikite katika shughuli za uchimbaji zenye tija kwa Taifa. Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko ametoa wito huo leo Januari 2, 2022 alipotembelea na kuzungumza na wachimbaji wadogo katika Mgodi wa Mahagi uliopo Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita. Akizungumzia eneo
READ MORE
- Habari, Kitaifa, Uchumi
- January 2, 2022
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewapongeza Wakuu wote wa Mikoa na Wakuu wote wa Wilaya nchini kwa kazi nzuri waliyofanya ya kusimamia miradi ya maendeleo na hasa ujenzi wa madarasa. “Kupitia kwako Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa na Wakuu wa Wilaya waliopo hapa, nitoe pongezi kwa Wakuu wengine wa Mikoa na Wilaya kwa kazi nzuri ya kusimamia
READ MORE
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. HusseinAli Mwinyi amesema ili Taifa liweze kufanikisha matarajio ya kukuzaUchumi katika mwaka wa Pili wa Uongozi wa Serikali ya Awamu yanane, halina budi kuendelea kudumisha amani, uwajibikaji pamoja nawatendaji kujenga uadilifu katika utekelezaji wa majukumu yao.Dk. Mwinyi ametoa indhari hiyo katika Hotuba aliyotoa kwa wananchi
READ MORE