SHILINGI BILIONI 23 ZATENGWA KWA WATOTO NJITI
- Afya
- September 20, 2022
Na.Elimu ya Afya kwa Umma. Katika utekelezaji wa agizo la Waziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalimu la kuhakikisha kuanzisha kampeni ya Hamasa na Elimu kwa jamii umuhimu wa chanjo ya Surua, jumla ya watu 267, 261 wamefikiwa na elimu hiyo Wilayani Mlele mkoani Katavi kwa njia ya magari ya matangazo na kwa njia ya sinema huku
READ MORENa. Catherine Sungura, WAF-Tabora TABORA YAPOKEA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 21 NDANI YA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA Awamu ya sita chini ya Uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan , Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya kuboresha huduma za afya kwa Mkoa wa Tabora. Hayo yamesemwa leo na Katibu Tawala wa Mkoa
READ MORENa Mwandishi Wetu Dodoma Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi akutana na kufanya mazungumzo na Menejimenti ya Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) Machi 10, 2023 katika ukumbi wa mikutano Ofisi hiyo Jijini Dodoma. Lengo la kikao hicho ni kumpitisha Katibu Mkuu huyo kuhusu Muundo na utendaji wa
READ MORE