• 0

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, amesema Tanzania haiwezi kufikia Dira ya Maendeleo ya 2030 huku ikiona wasichana wanaendelea kukeketwa kutokana na mila potofu zenye madhara. Waziri Dkt. Gwajima ameyasema hayo wakati akifungua Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa kutokomeza Ukeketaji Oktoba 9, 2023 jijini Dar es

    READ MORE
  • TANZANIA MWENYEJI MKUTANO WA KIMATAIFA WA KUTOKOMEZA UKEKETAJI.

    TANZANIA MWENYEJI MKUTANO WA KIMATAIFA WA KUTOKOMEZA UKEKETAJI.0

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima, amesema Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa pili wa kutokomeza Ukeketaji ambao unatarajia kuwa na washiriki 900 kutoka Barani Afrika. Akizungumza na Waandishi wa Habari Oktoba 07, 2023 jijini Dar Es Salaam, Waziri Dkt. Gwajima amesema, Tanzania imechaguliwa kuwa nchi mwenyeji wa

    READ MORE
  • Makamu wa Rais Dkt. Mpango amekabidhiwa tuzo na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali.

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango amekabidhiwa tuzo na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali.0

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akionesha tuzo aliyokabidhiwa na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s) wakati wa Kilele cha Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete mkoani Dodoma leo Oktoba 05, 2023.

    READ MORE
  • SERIKALI IMEWEKEZA FEDHA NYINGI KWENYE SEKTA YA AFYA.

    SERIKALI IMEWEKEZA FEDHA NYINGI KWENYE SEKTA YA AFYA.0

    SERIKALI kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) na Wizara ya Afya imewekeza fedha nyingi kwenye sekta ya afya ili kuhakikisha hakuna mwananchi atakayekosa huduma bora ya afya. Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu ameyasema hayo Oktoba 3, 2023 kwenye kongamano la afya lililofunguliwa na Rais wa Serikali ya Mapinduzi

    READ MORE
  • Uchangiaji Damu umevuka lengo.

    Uchangiaji Damu umevuka lengo.0

    Timu ya Afya ya Mkoa wa Dodoma imepongezwa kwa kuendelea kufanya vizuri katika suala la uchangiaji damu hadi kuvuka lengo la asilimia 100 lililowekwa na kufikia asilimia 110 kwa sasa.  Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Bi. Ziada Sellah ametoa takwimu hizo leo Oktoba 03, 2023 jijini Dodoma katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete

    READ MORE
  • WATOTO 546,026 WAMEPATA CHANJO YA MATONE DHIDI YA POLIO.

    WATOTO 546,026 WAMEPATA CHANJO YA MATONE DHIDI YA POLIO.0

    Mganga Mkuu Mkoa wa Rukwa Dkt. Ibrahim Isack ameipongeza Wizara ya Afya pamoja na  wadau mbalimbali ikiwemo Shirika la Afya Duniani( WHO), Shirika la Kuhudumia Watoto Duniani( UNICEF) pamoja na Save the Children kwa kuweka nguvu za pamoja kufanikisha Kampeni ya Chanjo ya Matone dhidi ya Polio. Dkt. Isack ametoa pongezi  hizo Mkoani Rukwa ikiwa

    READ MORE
Translate »