Na WAF- DSM Serikali ya Tanzania na Banki kuu ya Dunia zimesaini mkopo nafuu utaosaidia kuboresha huduma za afya kwa wananchi wa Tanzania ikiwemo kupunguza vifo vya mama na mtoto, kuboresha huduma za dharura, kuboresha rasilimali watu katika Sekta ya afya, kuboresha utendaji na ufanisi kwenye ngazi ya zahanati.Hafla hiyo fupi imeongozwa na Waziri wa
READ MORENa Barnabas Kisengi Dodoma Maelfu ya wananchi wa Jimbo la Dodoma Mjini wamemshukuru Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Anthony Mavunde kwa kushirikiana na Lions Mzizima na Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kuwapatia huduma bure ya matibabu ya macho. Wananchi hao wengi wao wakiwa ni wazee wameshukuru kwa huduma hii kwa kuwa wengi wao
READ MOREKaimu Katibu Tawala wa mkoa wa Pwani Bi.Savera Salvatory akizungumza katika ufungaji wa hafla ya kutembelea mradi wa Afya Tek na Usimamizi Shirikishi juu ya Masuala ya Afya katika halmashauri na Manispaa ya Kibaha . Kiongozi wa Mradi wa Afya –Tek Dkt.Angel Dillip ikiwa ni katika hafla ya majumuisho mara baada ya kutembelea mradi wa Afya Tek na Usimamizi Shirikishi juu ya Masuala ya
READ MORE