• Mke wa Rais, Mariam Mwinyi amesema michezo inajenga Afya.

    Mke wa Rais, Mariam Mwinyi amesema michezo inajenga Afya.0

    Mke wa Rais wa Zanzibar mama Mariam Mwinyi amesema michezo ina nafasi kubwa  katika kujenga mwili na kulinda afya dhidi ya  maradhi mbali mbali. Akizungumza katika Bonanza  liloandaliwa na umoja wa wanawake wilaya ya Amani Mama Mariam amesema ikiwa wananchi watajenga  utamaduni kushiriki michezo na kufanya mazoezi kutasaidia kujikinga magonjwa mbali mbali . Amesema kumekuwa

    READ MORE
  • ILEMBO YAJIPANGA KUENDELEZA UBINGWA.

    ILEMBO YAJIPANGA KUENDELEZA UBINGWA.0

    Mganga Mkuu wa Manispaa ya Mpanda iliyopo mkoani Katavi, Dkt. Paul Swakala amesema anatarajia baada ya watumishi wa afya wa kituo cha Ilembo kupata mafunzo, ubingwa na uwezo kutoka kwa Madaktari Bingwa walioletwa na Serikali kituoni hapo, ataweka mikakati ya kuendeleza ubingwa watakaoachiwa ambapo mbali na mafunzo, yapo mambo mengi ambayo wameyaweka sawa ikiwemo namna

    READ MORE
  • Madaktari Bingwa husaidia Kupunguza Foleni Hospitali za Mikoa.

    Madaktari Bingwa husaidia Kupunguza Foleni Hospitali za Mikoa.0

    Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Ujiji kilichopo mkoani Kigoma, Dkt. Edwin Muchunguzi amesema kuwa ujuzi na mafunzo yanayoendelea kutolewa na Madaktari Bingwa waliosambazwa katika baadhi ya vituo vya afya nchini kwa ajili ya kuwajengea uwezo watumishi wa vituo hivyo katika eneo la huduma ya mama na mtoto, yatasaidia kupunguza foleni ya wakina mama na

    READ MORE
  • NAMBA 199 MKOMBOZI KWA WANANCHI KUPATA UFAFANUZI MASUALA YA AFYA

    NAMBA 199 MKOMBOZI KWA WANANCHI KUPATA UFAFANUZI MASUALA YA AFYA0

    Imeelezwa kuwa  Kituo cha Huduma ya Simu cha Wizara   ya Afya  199 (Afya Call Center) kupitia Elimu ya Afya kwa Umma kimekuwa na mchango mkubwa  katika kutatua hoja za wananchi kuhusu masuala mbalimbali ya afya. Hayo yamesemwa na Beatrice Titho kutoka  Wizara ya Afya,Elimu ya Afya kwa Umma ,  Kituo cha Huduma ya Simu cha

    READ MORE
  • Elimu ya kukabiliana na Magonjwa ya mlipuko.

    Elimu ya kukabiliana na Magonjwa ya mlipuko.0

    Imeelezwa kuwa elimu ya kukabiliana na Magonjwa ya mlipuko ina umuhimu mkubwa katika jamii. Hayo yamebainishwa na Afisa afya kutoka Ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kagera Jackline Saulo wakati akizungumza na watumishi katika kituo cha afya cha Kimeya Wilayani Muleba Mkoani Kagera mara baada ya timu ya  wataalam wa afya kutoka mkoa wa

    READ MORE
  • Dkt.Mpango amemjulia hali naibu waziri Dkt.Festo baada ya kupata ajali.

    Dkt.Mpango amemjulia hali naibu waziri Dkt.Festo baada ya kupata ajali.0

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip I. Mpango akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange leo tarehe 29 Aprili 2023 wakati alipofika hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa kumjulia hali baada ya kupata ajali ya gari. Naibu waziri Dkt. Dugange alipata ajali usiku

    READ MORE
Translate »